Recomienda este artículo a tus amigos:
Mwanamke Katika Biblia Mariam Lucas
Mwanamke Katika Biblia
Mariam Lucas
MWANAMKE KATIKA BIBLIA ni kitabu bora kabisa kilichoandaliwa maalumu kwa ajili ya kugusa maisha ya wanawake wote pamoja na idara na vyama vyao. Katika kitabu hiki chenye visa mbalimbali vya wanawake ndani ya Biblia, waandishi wamekusudia kutoa elimu, maarifa na ufahamu kwa kutumia wahusika ambao ni wanawake walio katika Biblia. Na hivyo basi, wote watakao soma kitabu hiki wataweze kuziandaa njia zao vyema kwa ajili ya wokovu. Waandishi wa kitabu hiki ni walimu kwa taaluma, ni mume na mke na ni wainjilisti na walimu wa Biblia pia, hivyo, kitabu hiki kimeandikwa katika mtiririko mzuri wenye lugha rahisi inayoeleweka katika mada zake zote. Mungu akubariki sana kwa kujipatia nakala ya kitabu hiki. Amina!
| Medios de comunicación | Libros Paperback Book (Libro con tapa blanda y lomo encolado) |
| Publicado | 26 de enero de 2020 |
| ISBN13 | 9781656571335 |
| Páginas | 92 |
| Dimensiones | 152 × 229 × 6 mm · 145 g |
| Lengua | Inglés |
Ver todo de Mariam Lucas ( Ej. Paperback Book )